Dhambi ya asili (au dhambi asili) ni jinsi Wakristo wa madhehebu mbalimbali wanavyoita dhambi ya kwanza ya watu ambayo imekuwa asili ya dhambi zote (Rom 5:12) na ya uharibifu wa tabia ya binadamu na ya dunia kwa jumla (Rom 8:19-25).
Dhambi ya asili katika Biblia
Michelangelo alivyochora katika kuta za Cappella Sistina huko Vatikano dhambi ya Adamu na Eva naadhabu iliyofuata ya kufukuzwa bustanini.
Kitabu cha Mwanzo sura ya 3 inasimulia dhambi hiyo. Kwa njia ya