Ratiba ya ibada (IPHC),Lugalo-Iringa ,Tanzania
Jumanne: Mazoezi ya kwaya saa 10:00 -12:00 jioni
Jumatatano: mafunzo ya biblia saa 10:00-12:00 jioni
Alhamisi: mazoezi ya kwaya saa 10:00-12:00 jioni
Ijumaa: maombi na maombezi saa 10:00-12:00 jioni
Jumamosi: Mazoezi ya sifa na kuabudu saa 10:00-12:00 jioni
Jumapili: saa 3:00-4:00 asubuhi sunday school, saa 4:00-12:30 Ibada kuu na ibada ya jioni ni saa 10:00-12:00 jioni.
KARIBUNI SANAA!!!
No comments:
Post a Comment