Sunday, 12 March 2017

Mpendwa katika bwana karibu tuabudu katika roho na kweli






















Mchungaji/Askofu Berrings Mlambya wa
Kanisa la Internatinal Pentecostal Church (IPHC) lilipo katika  mtaa  wa  Lugalo B,  karibu na  Caritas,Kihesa, Iringa mjini, umbali wa mita 50 magharibi mwa barabara kuu ya Iringa- Dodoma,kutoka kituo cha majembe- kihesa. Anapenda kuwaalika watu wote wanaoishi mtaa wa Lugalo "B" na vitongoji vyote vya mji wa Iringa kuja kuabudu kwa roho na kweli. Mungu awabariki wote.  

No comments:

Post a Comment