Sunday, 12 March 2017

Muandikishe mwanao Bethel nursery school

  Image result for iphc logoFORM YA KUJIUNGA/ REGISTRATION FORM    (Tsh. 3,000)

1.   SEHEMU YA KWANZA: HISTORIA FUPI YA SHULE
Shule ya  awali  Bathel  ipo  katiaka  mtaa  wa 
Lugalo B,  karibu na  Caritas,Kihesa,  katiak  kanisa  la International Pentecostal Holiness Church, Iringa mjini. Shule ipo umbali wa mita 50 magharibi mwa barabar kuu ya Iringa- Dodoma,kuttoka kituo cha majembe- kihesa. Shule hii inamilikiwa na kanisa la International Pentecostal Holiness Church. Tanzania. Walimu ni wazoefu, waliojaa upendo kwa watoto na waliobobea katika eleimu ya awali. Wafanya kazi wetu ni wasafi na wenye kuwapenda watoto pia. Wazo la kuanzisha kituo hiki Iilitokana na askofu Mkuu ili kutoa huduma kwa jamii inayozunguka kanisa na hatimaye mtaa mzima wa manispaa ya Iringa kwa ujumla. Pia mwenyekiti wa mtaa aliomba kanisa lifungue ahule ya awali ili kusaidia watoto wa Lugalo B ili wasivuke barabara kuu kufuata elimu.

Maono: Kumjenga mtoto kiakili, kiroho na kimwili katika elimu bora.
Malengo:
Ø Kuwa shule yenye kumlea mtoto katika hali zote.
Ø Kumsaidia mtoto kujitambua kuwa ameumbwa na Mungu.
Ø Kumsaidia mtoto kujiandaa kuingia elmu ya msingi na hali ya kujitambua akiwa na ufanisi na
       
taaluma bora.
Ø Kutoa elimu bora ya awali inayotambuliwa na serikali
Ø Kumkuza mtoto katika ufanisi wakushirikiana na wenzake na jamii kwa ujumla. Ø Kumwandalia mahali safi pakumvutia mtoto kusoma na kukuza vipaji.
Ø Kuwa shule ya awali bora kuliko zote katika manispaa ya Iringa.



Muundo wa madarasa: Baby class: Miaka 2

Pre School: Miaka 3






Pre K        : Miaka 4 & 5

Ikama ya walimu: Mwalimu mmoja kwa wanafunzi 15
Huduma ya ya day care (Huduma ya siku kwa watoto): Huduma hii ni kwa ajili ya watoto kati ya mwaka mmoja (1) na miaka mitano (5).
2.     SEHEMU YA PILI : MAELEZO BINAFSI YA MZAZI AU MLEZI
        (Sehemu zote zijazwe kwa herufi kubwa na Mzazi au Mlezi)

2.1 jina la mzazi au mlezi : (Baba) __________________________________________________
2.2 jina la mama ________________________________________________________________
2.3 kazi (Baba) ________________________________(mama) __________________________
2.4 mtaa/mahali mnapoishi ________________________________________________________
2.5 namab ya simu :______________________________________________________________
2.6 Barua pepe : ________________________________________________________________
2.7 Jina    la    mlezi   au   mzazi   atakaye   husika   kumchukua/kumsindikiza   mtoto   shuleni

3.      SEHEMU YA TATU : MAELEZO YA MTOTO (Ambatanisha kivuli cha cheti cha kuzaliwa kama
anacho)
3.1 Jina la mtoto ________________________________________________________________
3.2 Jinsia (ke) _____________________________ (me) ________________________________
3.3 Tarehe ya kuzaliwa ___________________________________________________________
3.4 Mahali alipozaliwa : mtaa/kijiji/hospitali __________________________________________
        Wilaya ______________________ Mkoa _________________Uraia ___________________
3.5 Hali ya afya ya mtoto:
(Eleza)



3.6 Kipaji cha mtoto _____________________________________________________________
3.7 Anapenda nini? ______________________________________________________________
3.8 Ni mchezo gani anapendelea ___________________________________________________
3.9 Anandoto gani ya baadae ______________________________________________________
3.10 Mzazi/Mlezi:      mnategemea   nini    kwa    mtoto    akisoma    Bethel                       Nursery        school:








4.   SEHEMU YA NNE: ADA YA SHULE
Ada ni Th.20,000/= ( Ishirini elfu tu ) kwa mwezi kwa wanaorudi 6:00 mchana na Tsh. 30,000/= ( Elfu
thelathini tu ) kwa wanaoshinda shuleni hadi saa 12:00 jioni, Ada hii italipwa benki. Kila Mzazi ahakikishe
analipa kwanza kabla hajamleta mtoto shuleni. Ushirikiano wenu utafanya watoto wetu wahudumiwe
vizuri.
Namba ya Jina la Akaunti: International Pentecostal Holiness Church






Akaunti: 60510023040
Jina la Benki: National Micro Finance Bank (NMB)

Kwa mtoto yatima au nayeishi katika mazingira magumu: Kanisa litachangia Nusu ya gharam kwa Mlezi ambaye atakuwa hana uwezo wa kulipa. Uongozi wa mtaa utashirikishwa kuhakiki katika mchakto huu.
5.     SEHEMU YA TANO: SARE YA SHULE
5.1 Sare za watoto wa kike na wakiume zitapatikana shuleni kwa gharama nafuu sana ( suruali,shati,sketi
        na sweta)
5.2 Kila mtoto ni lazima awe na soksi nyeupe za kutosha na pea mbili za viatu vyeusi,kisigino kifupi.
5.3 Kila mtoto ni lazima awe awe na pea moja ya Raba nyeupe na Track suit: rangi Blue Bahari kwa ajili
        ya michezo.
6.     SEHEMU YA SITA: MASHARTI YA SHULE
6.1 Kila mwanafunzi ni lazima avae sare ya shule kila siku ya masomo. (sare zipo shuleni kwa bei nafuu
        sana)
6.2 Kila mwanfunzi atavaa traki suti siku ya michezo.
6.3 Kila mwanafunzi ni lazima awe na chupa maalum ya maji yake ya kunywa.
6.4 Kila mwanfunzi ni lazima awe na begi la shule (school bag) na kulitumia.
6.5 Kila mwanafunzi ni lazima awe na pencseli za rangi 12, penseli ya risasi 2,daftali 5 ndogo za Kusoma ,
       
Kuandika na Kuhesabu n.k
6.6 Lugha za kufundishia ni kiingereza na Kiswahili ili kutoa fursa kwa kila mwanfunzi kuchagua shule ya
       
mchepuo wa kiingereza (English Medium) au Kiswahili.
7.     SEHEMU YA SABA: UWAJIBIKAJI WA MZAZI/MLEZI
7.1 Muda mwingi mtoto atakuwa shuleni; kwa hiyo mazi/Mlezi hakikisha unafuatilia maendeleo ya mtoto
       
wako.
7.2 Mzazi/Mlezi hakikisha tunamlea pamoja vema mtoto kwa kumsaidia kazi zote za nyumbani. (verbal or
       
written home assignments)
7.3 Ikiwa mtoto anaumwa au ameshindwa kufika shuleni kwa sababu yoyote ile,tafadhali taarifa kwa kwa
       
Mwalimu mkuu bila kukosa.
7.4 Kila Mzazi/Mlezi atachangia kiasi kidogo kwa ajili ya chakula chepesi kwa mtoto.        (Uji/mkate/chai
maziwa/blue band/matunda)
7.5 Kila Mzazi/Mlezi amtafutie mtot kifaa chochote cha kuchezea.
8.     AHADI (Commitment)
Mimi _________________________________________________________________________
Mzazi/Mlezi  wa   _________________________________________________________ ninaahidi kuwa nitatekeleza yote na mengine yatakayoshauriwa na shule.

For office use

9.     Date received __________________________________________________________________
9.1 Checked thoroughly by _______________________________________________________
9.2 Approval accepted _________________________ Rejected __________________________
        Waiting list _________________________________________________________________

No comments:

Post a Comment